Weka Tangazo
Weka tangazo lako bure
Wafikie maelfu ya wateja wanaotafuta nyumba, vyumba, BnB, viwanja na mashamba.
1
Jisajili
Kwa namba ya simu, ndani ya dakika moja.
2
Jaza taarifa
Bei, mahali hadi mtaa, gharama zote na huduma.
3
Picha & video
Picha hadi 20 na video fupi ya hadi dakika 3.
4
Uhakiki
Mhakiki anakagua tangazo ndani ya saa chache.
5
Pokea wateja
Simu, WhatsApp, ujumbe na maombi ya kuona.
6
Funga muamala
Fuatilia kila hatua hadi funguo zikabidhiwe.
Bure
Mwenye mali
TZS 0
- Matangazo 3 hai
- Picha & video ya dakika 3
- Wateja kwa simu, WhatsApp & ujumbe
Mwenye mali
Mwenye Mali Plus
TZS 15,000/30 siku
- Matangazo 10
- Tangazo 1 maalum
- Takwimu za matangazo
Dalali / Wakala
Dalali Starter
TZS 30,000/30 siku
- Matangazo 20
- Matangazo 2 maalum
- Ukurasa wa wasifu wako
Dalali / Wakala
Dalali Pro
TZS 75,000/30 siku
- Matangazo 60
- Matangazo 6 maalum
- Beji ya Dalali Pro
- Takwimu za leads
Kampuni ya real estate
Kampuni
TZS 250,000/30 siku
- Matangazo 300
- Matangazo 20 maalum
- Timu isiyo na kikomo
- Ukurasa wa kampuni
Pandisha tangazo
Tangazo lako linakaa juu ya matokeo na kwenye ukurasa wa mwanzo.
TZS 10,000 / 7 sikuTZS 18,000 / 14 sikuTZS 30,000 / 30 siku