Usilipe pesa yoyote kabla ya kuona mali na kuthibitisha umiliki.

Jinsi ya kupanga nyumba

  1. Tafuta na chuja kwa mkoa, wilaya, kata na bajeti.
  2. Ona gharama halisi: kodi ya mbele, amana na udalali.
  3. Wasiliana kwa chat, simu au WhatsApp na upange siku ya kuona.
  4. Kagua mali: maji, umeme, usalama na mkataba.
  5. Saini mkataba na hifadhi nakala yako.
  6. Lipa kwa njia salama na upokee risiti.

Kumbuka: usilipe pesa yoyote kabla ya kuona mali na kuthibitisha umiliki.

Ilisasishwa 27 Okt 2026

Tuandikie