- Tafuta na chuja kwa mkoa, wilaya, kata na bajeti.
- Ona gharama halisi: kodi ya mbele, amana na udalali.
- Wasiliana kwa chat, simu au WhatsApp na upange siku ya kuona.
- Kagua mali: maji, umeme, usalama na mkataba.
- Saini mkataba na hifadhi nakala yako.
- Lipa kwa njia salama na upokee risiti.
Kumbuka: usilipe pesa yoyote kabla ya kuona mali na kuthibitisha umiliki.